Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga anawatangazia wananchi wote , wafanyabiashara na taasisi zote zilizopo ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kuwa mwisho wa matumizi ya mifuko ya plastiki ni tarehe 31.05.2019.
Ewe mwananchi na mfanyabiashara chukua hatua, epuka kununua , kuuza na kutumia mifuko ya plastiki . Tumia mifuko mbadala.
Hatua za kisheria zitachukuliwa kwa wote watakaobainika kuzalisha , kuingiza ,kusambaza, kuuza auu kutumia mifuko ya plastiki.
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Hakimiliki©2018. Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa