Kwa mujibu wa kifungu cha 7A(4) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi ,Sura ya 343 na kifungu cha 10(6) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa,Sura ya 292 , kikisomwa pamoja na kanuni ya 9 ya Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura , Uchaguzi wa Rais na Wabunge za mwaka 2018 na Kanuni ya 12 ya Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura , Uchaguzi wa Madiwani za Mwaka 2018
Afisa Mwandikishaji wa jimbo la Solwa anapenda kuwajulisha Wananchi wote kuwa , zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura katika Kata zote za Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga litaanza hivi karibuni . Katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura Vituoni watatumika Waandishi Wasaidizi na BVR Kit Operators. Hivyo anakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi hizo;TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI0001.pdf
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Hakimiliki©2018. Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa