• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Shinyanga District Council
Shinyanga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Usafi na Manzingira
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Land and Natural Resources
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki na Misitu
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Mipango
      • Kamati ya Masuala ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Elimu , Afya na Maji
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
    • Madiwani wa Kuchaguliwa
    • Madiwani wa Kuteuliwa
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Majarida
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Kanzi Data ya Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Video

Hati Miliki 190 Zatolewa Kata ya Tinde na ILola kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani Katika Halmashauri ya Wilaya ya Shiyanga

Posted on: November 27th, 2020

Afisa Ardhi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga bwana Mahira leo amemuongoza Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mh. Jasinta Mboneko na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Katika sherehe za kugawa hati Miliki za Kimila kwenye Vijiji vya Jomu na Kasingili 

Akitowa Taarifa, Afisa Ardhi huyo Alisema katika Kipindi cha Mwaka 2020/21 Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga imedhamiria kupanga na kupima Ardhi katika Vijiji vya Jomu, Nyambuli (TInde) Didia, Iselamagazi, Kasingili na Mwalukwa. ni Matarajio ya Halmashauri kuwa Upimaji huo utazalisha viwanja 1.000 na Mashamba 500 katika miji ya Tinde (Jomu na Nyambui), Didia, Iselamagazi, Kasingili na Mwalukwa,

Akieleza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji, Bwana Mahira Alisema. Hadi kufikia Novemba 2020, JUmla ya Hati za hakimiliki za Ardhi 89 zimeandaliwa na 29 zimechukuliwa na walengwa katika maeneo ya Salawe, Tinde na Didia. na Hakimiliki 20 zitatolewa leo tarehe 27/11/2020 kwa Wananchi wa Kijiji cha Jomu.

aidha Afisa Ardhi huyo alimueleza Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga kuwa Mashamba 270 yamepimwa katika VIjiji vya Kasingili na Mwalukwa, kati ya Mashamba hayo, 172 yameandaliwa hati za Hakimiliki za kimila ambazo zitagaiwa leo tarehe 27/11/2020. maandalizi ya kukamilisha Hati zilizobkia katika vijiji vya Kasingili na Mwalukwa yanaendelea. Upimaji wa Mashamba katika Vijiji vya Kasingili na Mwalukwa unafanywa kwa ushirikiano baina ya Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga na shirika lisilo la Kiserikali la SHIDEPHA

Akieleza Malengo ya kutoa Hakimiliki kwa Mkuu wa Wilaya, Afisa Ardhi wa Halmashauri bwana Mahira aliyataja kuwa ni pamoja na:

  • Kumpatia mwananchi uhakika wa usalama wa Ardhi yake
  • Kumuwezesha Mwananchi kutumia ardhi yake kama mtaji (kukopa/kuweka rehani) na hivyo kumtoa katika umaskini wa Kipato
  • Kuinuwa Thamani ya Ardhi
  • Kuondoa Migogoro ya Ardhi hasa inayohusiana na Mipaka
  • Kuongeza Mapato ya Serikali kutokana na tozo/kodi mbalimbali za Ardhi

Mwisho Kabisa Afisa Ardhi kwa Niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, alitowa Shukrani za dhati kwa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya, Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Shinyanga, Viongozi na Wananchi wa Vijiji vya Jomu, Nyambui na Kasingili kwa kujitowa kwao katika kufanikisha zoezi hili.



Matangazo

  • TANGAZO MAPOKEZI YA FEDHA February 09, 2021
  • UPANGISHAJI WA MAJENGO YA OFISI NA NYUMBA ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA ZILIZOPO MANISPAA YA SHINYANGA July 02, 2020
  • Nafasi za Kazi za Mtendaji wa Kijiji na Dereva January 25, 2019
  • Tangazo la nafasi za kazi za muda August 09, 2019
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Hati Miliki 190 Zatolewa Kata ya Tinde na ILola kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani Katika Halmashauri ya Wilaya ya Shiyanga

    November 27, 2020
  • Mkuu wa Wilaya, Mkurugezi wa Halmashauri waongoza shughuli ya Upandaji Miti katika Vijiji vya Kasingili, Nyambui na Ihalo

    November 27, 2020
  • Shirika la AGAPE ACP Lagharamia mradi wa Shs. Million tisa (9) kusaidia mapambano dhidi ya Corona Shnyanga DC

    May 20, 2020
  • Madiwani wafurahishwa na kubariki Mradi wa Urasimishaji wa Makazi unaotekelezwa na Shidepha+ Katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga kwa Ufadhili wa SELAVIP kutoka Belgium.

    February 12, 2020
  • Tazama zote

Video

wiki ya maji
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Dira na Dhamira
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Muundo wa Taasisi
  • Video mbali mbali
  • Historia
  • Fomu ya Likizo
  • Leseni ya Makazi
  • Fomu ya Mkazi wa Ardhi kulipwa fidia

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • ofisi ya taifa ya takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    NIndo - Iselamagazi

    Anuani ya posta: 113 Shinyanga

    Simu: 0282-986382

    Simu: 0282-986382

    Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa