• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Shinyanga District Council
Shinyanga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Usafi na Manzingira
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Land and Natural Resources
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki na Misitu
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Mipango
      • Kamati ya Masuala ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Elimu , Afya na Maji
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
    • Madiwani wa Kuchaguliwa
    • Madiwani wa Kuteuliwa
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Majarida
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Kanzi Data ya Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Video

Mkuu wa Wilaya, Mkurugezi wa Halmashauri waongoza shughuli ya Upandaji Miti katika Vijiji vya Kasingili, Nyambui na Ihalo

Posted on: November 27th, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mh. Jasinta Mboneko na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Bi. Hoja N Mahiba waongoza Zoezi la Upandaji Miti Katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Kwenye Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani ki Halmashauri yalofanyika katika Kijiji cha Ihalo, Kata ya Ilola leo tarehe 27/11/2020

wakiwa na Afisa Misitu wa Halmashauri, Bi. Juliana Mollel. Mkurugenzi alimueleza Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya  kuwa  Hadi kufikia Novemba 2020 Miche ya Miti 18,500 imesambazwa na inaendelea kupadwa katika maeneo mbalimbali ya Halmashauri ya Wilaya. Miche 5,000 imepandwa kwa Juhudi za Taasisi zisizo za Kiserikali na watu binafsi na Miche 13,500 inaendelea kuandwa katika maeneo ya Taasisi za umma zikiwemo Shule, Vituo vya Afya na Ofisi za Vijiji na Kata.

Akiwashukuru Wadau, Bi Hoja alisema " Kwa Namna ya Pekee napenda kutowa shukrani zangu za dhati kwa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) na Williamson Diamond (Mwadui) kwa kujitolea na kuipatia Halmashauri miche ya miti 18,500".

MkurugenziMTendaji Bi. Hoja N Mahiba, Alimshukuru sana Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Ofisi yake na Mkoa kwa Ujumla kwa Maelekezo na ufuatiliaji wao Katika kuwezesha Shinyanga ya Kijani, Mkurugenzi Mtendaji alisisitiza kuwa MITI NI UHAI


Matangazo

  • TANGAZO MAPOKEZI YA FEDHA February 09, 2021
  • UPANGISHAJI WA MAJENGO YA OFISI NA NYUMBA ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA ZILIZOPO MANISPAA YA SHINYANGA July 02, 2020
  • Nafasi za Kazi za Mtendaji wa Kijiji na Dereva January 25, 2019
  • Tangazo la nafasi za kazi za muda August 09, 2019
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Hati Miliki 190 Zatolewa Kata ya Tinde na ILola kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani Katika Halmashauri ya Wilaya ya Shiyanga

    November 27, 2020
  • Mkuu wa Wilaya, Mkurugezi wa Halmashauri waongoza shughuli ya Upandaji Miti katika Vijiji vya Kasingili, Nyambui na Ihalo

    November 27, 2020
  • Shirika la AGAPE ACP Lagharamia mradi wa Shs. Million tisa (9) kusaidia mapambano dhidi ya Corona Shnyanga DC

    May 20, 2020
  • Madiwani wafurahishwa na kubariki Mradi wa Urasimishaji wa Makazi unaotekelezwa na Shidepha+ Katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga kwa Ufadhili wa SELAVIP kutoka Belgium.

    February 12, 2020
  • Tazama zote

Video

wiki ya maji
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Dira na Dhamira
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Muundo wa Taasisi
  • Video mbali mbali
  • Historia
  • Fomu ya Likizo
  • Leseni ya Makazi
  • Fomu ya Mkazi wa Ardhi kulipwa fidia

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • ofisi ya taifa ya takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    NIndo - Iselamagazi

    Anuani ya posta: 113 Shinyanga

    Simu: 0282-986382

    Simu: 0282-986382

    Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa