Mkurugenzi Mtendaji anawatangazia watumishi wote walioko makao makuu kuwa tar. 25/02/2017 kufika bila kukosa kwa ajili ya usafi wa mazingira.
Daftari la mahudhurio litakuwepo
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Hakimiliki©2018. Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa