Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga anapenda kuwataarifu waombaji wa kazi ya Afisa Mtendaji wa Kijiji Draja la III waliofanya usaili tarehe 19.01.2021 hadi tarehe 21.01.2021 kuwa mchakato umekamilika.
Jina la Muombaji aliyechaguliwa ni kama linavoonekana kwenye Tangazo hili.
Aidha, unatakiwa kuripoti kazini ukiwa na vyeti halisi ( Original Certificates) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe kabla ya kupewa barua ya ajira.
Wale wote ambao majina yao hayakuonekana kwenye tangazo hili, watambuwe kuwa hawakupata nafasi au hawakufaulu usaili, hivo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitapotangazwa. kupata TAngazo hili waweza kubonyeza TANGAZO LA KUITWA KAZINI.pdf
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Hakimiliki©2018. Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa