Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga anapenda kuwataarifu wasailiwa wote waliofanya usaili wa mchujo kwa nafasi ya Mtendaji wa Kijiji Daraja la III kupitia kibali cha ajira Mbadala chenye Kumb. Na. FA.170/376/01"8" /60 cha tarehe 19 lulai, 2021 kutoka kwa Katibu Mkuu (UTUMISHI),uliofanyika tarehe 20.09.2021, kuwa zoezi la mchujo limekamilika na wasailiwa waliokidhi vigezo kufuatia usaili wa tarehe 20.09.2021 wameorodheshwa hapa chini
Wasailiwa waliofuzu vigezo na kuitwa kwenye usaili wa Mahojiano (Oral Interview) wanataarifiwa kuwa usaili huo utafanyika tarehe 21.09.2021 katika Ukumbi wa Halmashauri kuanzia saa 02.00 asubuhi.
Wasailiwa wote wanatakiwa kuja na vyeti vyao halisi (Original Certificates) ikiwemo cheti cha Kidato cha Nne na cha Sita, Vyeti vya taaluma na ujuzi, cheti cha kuzaliwa, Kitambulisho cha Nida au Kitambulisho cha Mpiga Kura. WAOMBAJI AMBAO HAWAPO KWENYE ORODHA HII WATAMBUE KWAMBA HAWAKUFANIKIWA KUCHAGULIWA KATIKA HATUA HII KUTOKANA NA VIGEZO VILIVYOWEKWA.
Kuliona Tangazo lenyewe, fuata kiungo (Link) ifutayo TANGAZO_LA_KUITWA_KWENYE_USAILI[1].pdf
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Hakimiliki©2018. Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa