TANGAZO LA NAFASI YA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga kupitia Kibali cha Ajira mbadala chenye Kumb. Na.FA.170/376/01"8"/60 cha tarehe 19 Julai, 2021 kilichotolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora {UTUMISHI) anatangaza nafasi ya kazi kwa Wananchi wa Tanzania wenye sifa na ujuzi wa kujaza nafasi ifuatayo:-
Mtendaji wa Kijiji Daraja la Ill (Nafasi 1)
(a) Sifa za Mwombaji:
Awe amehitimu Kidato cha Nne au Sita na Cheti cha Mafunzo (NTA LEVEL 5) katika fani mojawapo kati ya hizi; - Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii (Sociology). Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka katika Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
(b) Kazi na majukumu ya Mtendaji wa Kijiji Daraja Ill
Mtendaji wa Kijiji atatekeleza majukumu yafuatayo.-
(c) Ngazi ya Mshahara:
MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI WOTE JUMLA
a) Maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
b) Nakala za vyeti vya kidato cha Nne au Sita kwa wale waliofika kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali (Taaluma) kwa kuzingatia sifa tajwa hapo juu.
c) Nakala ya cheti cha kuzaliwa
d) Picha mbili (2) za Passport Size za hivi karibuni
e) Kitambulisho au namba ya kitambulisho cha Taifa (NIDA)
(iv) Watakaochaguliwa kuhudhuria usaili (Shortlisted Candidates) watafahamishwa kupitia anuani na namba za simu walizotumia kwenye barua zao za maombi ya kazi,
(v) Testimonials na Provisional results havitakubalika,
(vi) Kwa wale waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe kwamba vyeti vyao vimehakikiwa na kuthibitishwa na Mamlaka (TCU au NECTA) kulingana na ngazi ya cheti,
(vii) Nakala zote za vyeti vya Shule, Chuo, kitambulisho cha Taifa (NIDA), na cheti cha kuzaliwa vithibitishwe na Wakili yeyote aliyesajiliwa na kuthibitishwa au Mahakama.
Mwombaji mwenye sifa anatakiwa kutuma maombi kupitia Posta kwa anuani ifutayo;-
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya Shinyanga,
S. L. P 113,
SHINYANGA.
Tangazo hili waweza kulipata hapa TANGAZO LA AJIRA SHINYANGA DC0001.pdf
Nice R. Munissy.
MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Hakimiliki©2018. Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa