MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA KUPITIA KIBALI CHA AJIRA CHENYE KUMB. NA. FA.97/228/01/9 CHA TAREHE 13 MEI 2022, KILICHOTOLEWA NA KATIBU MKUU, OFISI YA RAIS, MANAGEMENT YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA (UTUMISHI) ANATANGAZA NAFASI ZA KAZI KWA WANANCHI WA TANZANIA WENYE SIFA NA UJUZI WA KUJAZA NAFASI ZIFUATAZO:
KUPATA SIFA, KAZI NA MAJUKUMU. NGAZI YA MSHAHARA, MASHARTI YA JUMLA PAKUWA TANGAZO LA MKURUGENZI TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI.pdf
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Hakimiliki©2018. Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa