Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga anawatangazia nafasi za ajira ya muda za kukusanya taarifa kwenye zoezi la uandaaji wa mfumo wa Anwani za Makazi katika Kata,Vijiji na Vitongoji vyote vya Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga.
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Hakimiliki©2018. Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa