Mkurugenzi Mtendaji wa Halamshauri ya Wilaya ya Shinyanga anawatangazia Taasisi, Wafanya biashara, Vikundi vilivosajiliwa, Makampuni na watu binafsi wenye uwezo wakupanga au kuwekeza katika Majengo yake yaliyopo Manispaa ya Shinyanga kwa kipindi cha mwaka wa Fedha 2020/2021.
kwa Maelezo zaidi, Masharti ya waombaji, na namna ya KUandika Maombi tafadhali pakuwa barua hii Tangazo Upangishaji Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga.pdf
Wote Mnakaribishwa.
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Hakimiliki©2018. Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa