• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Shinyanga District Council
Shinyanga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Usafi na Manzingira
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Land and Natural Resources
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki na Misitu
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Mipango
      • Kamati ya Masuala ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Elimu , Afya na Maji
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
    • Madiwani wa Kuchaguliwa
    • Madiwani wa Kuteuliwa
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Majarida
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Kanzi Data ya Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Video

Mifugo na Uvuvi

SHUGHULIZA IDARA MIFUGO NA UVUVI.

·   Kusimamia tiba ya ya magonjwa ya Mifugo.

·   Kusimamia kinga ya magonjwa ya mifugokama vile chanjo dhidi ya  Ugonjwa waHoma ya Bonde la ufa, Kichaa cha Mbwa, Mdondo, Ugonjwa wa miguu na midomo(FMD)n.k

·   Kusimamia afya ya mifugo inayotoka na kuingia Wilayani

 Uendelezaji wa nyanda za malisho ya Mifugo 

Kitengo hiki kinashughulika na:

·   Kutoa ushauri wa kitaalamu juu yamatumizi na uboreshaji wa nyanda za malisho

·   Kutoa ushauri kwa Serikali ya Vijijikuainisha maeneo yanayofaa kwa ufugaji wakati wa kuandaa mpango wa matumizibora ya ardhi vijijini.

·   Kusimamia miundombinu ya mifugo.

Uzalishaji naUboreshaji wa Mifugo na mazao yake.

·   Kusimamia uboreshaji wa mifugo ya asiliili kuleta tija kwa mfugaji. Katika kutekeleza majukumu yake jumla ya madumebora 27 aina ya Borani yalisambazwa kwa wafugaji wa Tarafa ya Ngerengere namatoke yake yameanza  kuonekana.

·   Kusimamia sheria ya ubora na usalama wamaziwa katika wilaya ili kuhakikisha mlaji anapata maziwa safi na salama. 

·   

Uvuvi.

Shughuli

·   Kutoa elimu na ushauri wa kitaalamu  juu ya uzalishaji samaki kwenye mabwawa.

·   Kuhamasisha wananchi kuchimba mabwawa nakufuga samaki

 ushauri na uelimishaji:

·   Kuandaa mafunzo yote yanayohusina na mifugo na wafugaji katika Halmashauri

·   Kutoa elimu na ushauri wa kitaalam kwawafugaji

·   Kutoa taarifa za matokeo ya tafitimbalimbali za mifugo na hatua za kuchukua


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 23, 2022
  • UPANGISHAJI WA MAJENGO YA OFISI NA NYUMBA ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA ZILIZOPO MANISPAA YA SHINYANGA July 02, 2020
  • TANGAZO MAPOKEZI YA FEDHA February 09, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI - Mtendaji wa Kijiji Daraja la III (Nafasi 1) August 13, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • SHINYANGA DC YAFANYA INTERVIEW ZOEZI LA ANUANI YA MAKAZI NA POSTIKODI

    March 21, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

    March 16, 2022
  • Shinyanga DC yatoa Million mia moja sabini na Tatu na laki nane (173,808,661) kwa makundi ya Vijana, Kina Mama na Watu wenye Ulemavu

    February 03, 2022
  • Shinyanga DC yatoa Million mia moja sabini na moja na laki nane kwa makundi ya Vijana, Kina Mama na Watu wenye Ulemavu

    February 03, 2022
  • Tazama zote

Video

wiki ya maji
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Dira na Dhamira
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Muundo wa Taasisi
  • Video mbali mbali
  • Historia
  • Fomu ya Likizo
  • Leseni ya Makazi
  • Fomu ya Mkazi wa Ardhi kulipwa fidia

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • ofisi ya taifa ya takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    NIndo - Iselamagazi

    Anuani ya posta: 113 Shinyanga

    Simu: 0282-986382

    Simu: 0282-986382

    Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa