• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Shinyanga District Council
Shinyanga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Usafi na Manzingira
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Land and Natural Resources
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki na Misitu
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Mipango
      • Kamati ya Masuala ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Elimu , Afya na Maji
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
    • Madiwani wa Kuchaguliwa
    • Madiwani wa Kuteuliwa
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Majarida
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Kanzi Data ya Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Video

Naibu Waziri wa Teknolojia awasilisha Neema Mkoa wa Shinyanga

Posted on: August 15th, 2021

Mhe. Naibu Waziri wa Teknolojia Eng. Kundo jana tarehe 14/08/2021 amewasilisha Neema Mkoa wa Shinyanga.

kwanza alikabidhi Computer 30 na Printer 4 kwa shule za Sekondari ili ziweze kuunganishwa na Tehama. akikabidhi vifaa hivo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Philemon Sengati, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Jacinta Mboneko, Mbunge wa Viti Malum Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Eric na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Ndg NICE R. MUNISSY

Pili aliwasilisha Sh. 1.1 Billioni kwa Ajili ya Mradi wa Anuani za Makazi Mkoa wa Shinyanga. Akizungumza Mh Naibu Waziri, Alisema " Mhe. Rais anawapenda sana Shinyanga. ametuagiza tulete hiyo pesa kwa ajili ya Mradi wa Anuani za Makazi. jambo ambalo ameamuwa kulifanya Tanzania Nzima. " Leo namshukuru Mungu nimewafikishia Shinyanga na sasa ni kuona Fedha hizo zinatumika kama zilivopangiliwa na Serikali". Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa na Mhe. Mkuu wa Wilaya walitumia Fursa hiyo kuishukuru sana Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mama  yetu Mpendwa Mhe. Samia Suluhu Hassan. 

Neema hazikuishia hapo, Mhe. Naibu Waziri huyo aliwaambia Waheshimiwa Viongozi hao wa Mkoa na Wilaya kuwa pia Serikali imetowa fedha ya Ujenzi wa Minara 4 ya Mawasiliano ili kuweza kusogeza huduma za Mawasiliano karibu na Wananchi. Minara hiyo minne (4) Itajengwa Katika Mkoa wa Shinyanga ili kuwaletea wananchi wetu Maendeleo wanayoyahitaji. Hakika Swala la Mawasiliano ni muhimu sana na hatutaki wananchi wabaki nyuma kwenye matumizi ya Mawasiliano na Teknoljia ya Habari.

Pichani juu ni Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Philemon Sengati, Baada ya Ukaguzi wa Madarasa yatayofungwa Computer hizo, Akizungumza na Naibu Waziri wa Teknolojia Eng Kundo, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe.Jacinta huku Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Ndg. NICE akiwasilkiliza.

 

Kwa Niaba ya Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Sengati Alisisitiza umakini wa Hali ya Juu utatumika kuhakikisha Miradi yote ya Serikali inatekelezwa kama ilivopangwa. aliahidi kuwa Mkoa umejipanga kutkeleza Miradi yote kama ilivopangwa na Serikali na watahakikisha Malengo tarajiwa yanapatikana kwa Ufanisi mkubwa. "Tutasimamia Miradi hii bila kumuonea aibu mtu yeyote atayetaka kuikwamisha, tutakuwa wakali hasa kuhakikisha Malengo yalokusudiwa yanafikiwa" Alisisitiza Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.

Mhe. Naibu waziri Aliwashukuru Wenyeji wake na kuendelea na Ziara za Ukaguzi wa Miradi ya Serikali na Utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOCHAGULIWA KUFANYA KAZI ZA MUDA ZA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 BAADA YA USAILI KUFANYIKA July 27, 2022
  • UPANGISHAJI WA MAJENGO YA OFISI NA NYUMBA ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA ZILIZOPO MANISPAA YA SHINYANGA July 02, 2020
  • TANGAZO MAPOKEZI YA FEDHA February 09, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI - Mtendaji wa Kijiji Daraja la III (Nafasi 1) August 13, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • SHINYANGA DC YAFANYA INTERVIEW ZOEZI LA ANUANI YA MAKAZI NA POSTIKODI

    March 21, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

    March 16, 2022
  • Shinyanga DC yatoa Million mia moja sabini na Tatu na laki nane (173,808,661) kwa makundi ya Vijana, Kina Mama na Watu wenye Ulemavu

    February 03, 2022
  • Shinyanga DC yatoa Million mia moja sabini na moja na laki nane kwa makundi ya Vijana, Kina Mama na Watu wenye Ulemavu

    February 03, 2022
  • Tazama zote

Video

wiki ya maji
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Dira na Dhamira
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Muundo wa Taasisi
  • Video mbali mbali
  • Historia
  • Fomu ya Likizo
  • Leseni ya Makazi
  • Fomu ya Mkazi wa Ardhi kulipwa fidia

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • ofisi ya taifa ya takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    NIndo - Iselamagazi

    Anuani ya posta: 113 Shinyanga

    Simu: 0282-986382

    Simu: 0282-986382

    Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa