Tovuti italinda faragha na usalama wa wanaotembelea, haitokusanya wala kutoa taarifa binasfi wakati unapotembelea tovuti yetu isipokuwa kwa uamuzi binasfi wa kutoa taarifa.
Tovuti hii ina viungo kwenda tovuti nyingine za Serikali ambazo kwa namna moja au nyingine zimetofautiana kwa ulinzi wake wa data na kanuni za faragha zinaweza kutofautiana na za kwetu. Hatuwajibiki kwa maudhui na kanuni za faragha za tovuti hizo na tunakushauri uangalie ilani za faragha za tovuti hizo kabla hujatumia.
Mabadiliko ya Sera ya Faragha
Kukitokea mabadiliko yoyote katika sera hii, tutaweka taarifa iliyohuishwa mara moja katika ukurasa. Aidha, tunashauri upitie ukurasa huu mara kwa mara na kusoma taarifa zilizohuishwa ili kupata uelewa wa mabadiliko ya sera yetu.
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.