KITENGO CHA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO(TEHAMA)
Kitengo Cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kina lengo la kutoa huduma za kitaalamu juu ya matumizi ya Teknolojia ya habari na mawasiliano kwa Hamashuri ya Wilaya ya Shinyanga.
Majukumu ya Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
kuratibu masuala yakiitifaki ikiwemo kupokea wageni.
Usimamizi Wa Mifumo Ya Kompyuta(SystemAdministration)
Usimamizi Wa Mtandao Wa Kompyuta pamoja NaVifaa Vyake (Network And HardwareAdminstration).
Usimamizi Wa Benki Ya Takwimu(DatabaseAdministration)
Usimamizi wa tovuti na barua pepe (websiteadministration & emails).
Kutekeleza sera ya TEHAMA na Serikali Mtandao.
Kuandaa mahitaji katika Ununuziwa vifaa vya TEHAMA.
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.